Deuteronomy 23:10-11

10 aIkiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko. 11 bLakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini.

Copyright information for SwhKC